Kiongozi maarufu wa upinzani Afrika Kusini, Julius Malema ataka bara la Afrika liungane na litumie lugha moja ya kiswahili (+video)

IF YOU ARE 18 YEARS CLICK BELOW TO WATCH AND DOWNLOAD FULL VIDEO

Thursday, August 30, 2018

Kiongozi maarufu wa upinzani Afrika Kusini, Julius Malema ataka bara la Afrika liungane na litumie lugha moja ya kiswahili (+video)

Kiongozi mkubwa nchini Afrika Kusini wa chama cha upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, amependekeza bara la Afrika Liungane na liwe na sarafu yake kama ilivyo Ulaya na kutumia lugha moja ya kiswahili ili kuepuka lugha za kikoloni ambazo zinatumiwa kututenganisha.
Malema amesema hayo jana Agosti 29, 2018 kwenye mkutano na waandishi wa habari ulioandaliwa na EFF kama sherehe ya miaka mitano tangu chama hicho kianzishwe, ambapo aliongelewa mambo mbalimbali ikiwemo ujumbe wa Rais wa Marekani kwenye mtandao wa Twitter kuhusu marekebisho ya sheria ya ardhi Afrika Kusini ambapo amesema bara la Afrika haliwezi kukubaliana na mtu kama huyo anayeona watu weupe wananyanyaswa.
Share :
Facebook Twitter Google+

 

Back To Top